Mshambuliaji wa Arsenal Lukas Podolski ameihama klabu hiyo ya Jijini London Uingereza na kujiunga na Galatasary ya Uturuki kwa ada ya £1.8m
Kwa mkataba wa miaka mitatu
Lukas Podolski alisajiliwa na Arsenal 2012 akitokea Fc Koln ya ujerumani kwa ada ya £11m na
Ameichezea Arsenal mechi 82 na kufanikiwa kuifungia timu hiyo magoli 31
Lukas Podolski amefikia uamuzi wa kuihama Arsenal kutokana na kutopata nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza

Post a Comment Blogger Facebook