Bwana Nape kupitia Star tv amejitokeza na kutangaza majina yaliyo ingia
Tano bora ambao na ambayo hakuna mabadiliko yeyote na yale ya mwanzo!
Pia ameweka wazi kuwa ambaye hakulizishwa na maamuzi ana fursa ya kukata rufaa na taratibu ziko wazi!
Pia aliulizwa kama chama kina mpasuko na kusema chama kipo imara na ni kawaida kwa watu kupingana na si mara ya kwanza lakini demokrasi inawapa ushindi wengi!
Pia kuhusu kauli ya kutokuwa na fursa ya kukata rufaa amesema ule ulikuwa upotoshaji na amesema watu hawakumuelewa lakini mtu asiye kubaliana na mamuzi kuna utaratibu wa kukata rufaa!
Pia kuhusu swala la Nchimbi na wenzie kutokubaliana na maamuzi na kusema kanuni zimekiukwa amesema hipo fursa ya wao kusikilizwa na swala la kupinga maamuzi ndio demokrasia yenyewe!
Top five ni
Membe
Magufuli
January
Migiro
Amina S.

Post a Comment Blogger Facebook