
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema
mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa?
Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia
nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi Lowasa ndo raisi, siku wanafika
Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA ...Yakawafika
Hapaaaaaa.........!!!
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.