Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati mgombea huyo akielekea Chunya kwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.