
‘Chuchu Hans mpaka sasa hivi ana siku ya tano tangu
tumempokea na mganga siku zote haruhusiwi kusema kwamba nani alikuja na
mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na Mwao Tanzania siruhusiwi kusema
wangapi wanahitaji kuja katika chama cha Mapinduzi lakini viashiria
vinaonesha wangapi wanahitaji kurudi’– Steve Nyerere
.
‘Kwa hiyo Chuchu Hans kafungua milango kama Mwanamke jasiri
kurudi kwa Mama yao na kaamua kurudi kwa Dkt John Pombe Magufuli sasa
si dhambi hata kwa hao wengi wakiamua kurudi nyumbani huku hakuna yale
maandamano, kwa hiyo ninachotaka kusema ukitaka kuishi kwa Amani cha
kwanza kabisa ni lazima ujitambue na ndio maana Chuchu Hans kajitambua’ –
Steve Nyerere
‘Lakini mimi nataka niwaambia wasanii wenzangu tusipotoke
na hayo yansyokuja ni mchanganuo baada ya wenzetu wakiapishwa maisha
mengine yanaendelea isije kutokea tukachukua tukashindwa kufanya kazi
zetu huko kwenye kazi za uigizaji naomba nilisisitize hilo’ – Steve
Nyerere
Post a Comment Blogger Facebook