Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na
m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda
mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za
ubunge.
Chanzo
chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha
tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Chanzo: Aloyce Nyanda wa Radio Sengerema
Chanzo: Aloyce Nyanda wa Radio Sengerema
Post a Comment Blogger Facebook