Jeshi
la polisi jiji Mwanza limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi
wa vyama vinavyounda ukawa ili wasiandamane kwenda uwanja wa ndege wa
Mwanza kumpokea mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa,
anayetarajiwa kuwasili jijini huko kusaka wadhamini
Kamanda
wa Polisi mkoa wa Mwanza, Charles mkumbo, amesema mabomu hayo
yametumika ili kuwazuia wafuasi hao wasiweze kujazana uwanjani hapo na
kusimamisha shughuli nyingine.
Post a Comment Blogger Facebook