Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari )
wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua
hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa.
Kundi kubwa kubwa linawalaumu wasanii hawa kwa kupiga picha
kama hii huku likidai ni kumdhalilisha mtoto aliyeko tumboni.
Aunt Ezekiel aliwahi piga picha kama hii nakujikuta akioga mvua ya matusi toka kwa mashabiki wake.
Anaweza kuwa mmoja wa wanamuziki wa Bongo Flava waliofanikiwa kwa
kiasi kikubwa kwa sasa, lakini Barnaba amepitia mengi. Ameshawahi
kufanya karibu k...Read more »
Malkia wa filamu Wastara Juma baada ya kuachana na aliyekuwa mume
wake, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa
ambaye pia ni M...Read more »
Jumanne hii ni birthday ya mkali wa wimbo ‘Matatizo’, Harmonize
ambapo mastaa mbalimbali pamoja na mashabiki wake katika mitandao ya
kijamii wamem-w...Read more »
Kwa mujibu wa Shilole, hakuna msanii Bongo aliye na vigezo vya mwanaume anayemhitaji kwa sasa.
“Hakuna hata mmoja,” Shilole alimjibu mtangazaji wa ...Read more »
Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi
Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa
napost Hapa.....Read more »
Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.