
Msanii huyo ni mmoja kati ya mastaa wanaoongoza kwa kuvaa mavazi yanayoonyesha maumbile yao hasa mavazi maarufu kwa jina la GURU ambayo ameonekana kuyapendelea zaidi kuyavaa mara kwa mara.

Lady Gaga akiwa na Naomi Campbell kwenye NYFW
Tamasha hilo pia lilihudhuriwa na mastaa wengine wengi akiwemo mwanamitindo maarufu Naomi Campbell, Jussie Smollett, Brandon Maxwell, Stephen Gan, Inez van Lamsweerde na wengine wengi.
Tazama picha zaidi hapa chini.

Lady Gaga akiwa na Stephen Gan pamoja na Inez van Lamsweerde


Post a Comment Blogger Facebook
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.