0
Yanbian v Shanghai SIPG
Yanbian v Shanghai SIPG

Baada ya kupata matokeo mabovu juma lililopita dhidi ya changchun Yatai. Na kukosa nafasi ya kuongoza ligi kuu ya China. Juma hili wanaingia uwanja wakiwa na mastaa wao (Hulk na Wu Lei) pamoja na Kocha mkuu Andre-Villas Boas ambao walikuwa wamefungi… Read more »

Read more »
13Jul2017

0
Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Kufanya Biashara Hii
Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Kufanya Biashara Hii

MAKALA HII IMEANDIKWA NA MESHACK MAGANGA WA IRINGA TANZANIA.Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa hamasa kwa vijana wenzangu wa kike na kiume na watu wa kada mbalimbali, wito wangu umekuwa nikuwataka vijana wenzangu kauanza utamaduni wa kuwekeza kwa muda … Read more »

Read more »
12Jul2017

0
TAKUKURU: Kurudisha Hela Hakukuondoi Kwenye Tuhuma, Sheria Kufuata Mkondo Wake
TAKUKURU: Kurudisha Hela Hakukuondoi Kwenye Tuhuma, Sheria Kufuata Mkondo Wake

JF Jana  Wali- tweet kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa au TAKUKURU kwa kifupi imesema kuwa mtu kurudisha hela aliyopewa iliyotokana na ufisadi au utakatishaji pesa hakumuondoi kwenye mashitaka. Mnakumbuka jana Ngeleja alirudisha hela ali… Read more »

Read more »
12Jul2017

0
Imevuja: Yanga Kumsajili Erasto Nyoni
Imevuja: Yanga Kumsajili Erasto Nyoni

KIUNGO anayeweza kucheza nafasi zote za ulinzi, Erasto Edward Nyoni yuko mbioni kujiunga na mabingwa wa Tanzania, Yanga baada ya kumaliza mkataba wake Azam FC Nyoni yupo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayojiandaa kwa mchez… Read more »

Read more »
12Jul2017

0
Everton inafungulia Milango Tanzania - Mwakyembe
Everton inafungulia Milango Tanzania - Mwakyembe

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amesema ujio wa timu ya Everton nchini utaweza kufungua fursa nyingi kwa kuwa dunia nzima sasa itaitazama Tanzania kupitia mchezo kirafiki dhidi ya Gor Mahia. Mwakyembe amebainisha hayo … Read more »

Read more »
12Jul2017

0
Duh.. Afande Sele Amuombea Mabaya Aliyekuwa Rais wa TFF...Acha Magufuli Awanyooshe
Duh.. Afande Sele Amuombea Mabaya Aliyekuwa Rais wa TFF...Acha Magufuli Awanyooshe

Msanii mkongwe wa Hip hop nchini Afande Sele amefunguka na kumuombea mabaya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Jamal Malinzi na kusema ni bora aende kwani katika kipindi chake hakuna jambo lolote la maendeleo amelifanya.Afande Sele am… Read more »

Read more »
12Jul2017

0
KIMENUKA...CUF ya Lipumba Yatangaza Vita Kwa Chadema.....
KIMENUKA...CUF ya Lipumba Yatangaza Vita Kwa Chadema.....

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) upande wa Bara anayetambulika na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Magdalena Sakaya, amejibu mapigo baada ya mbunge wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea kutangaza jana ‘Oparesheni Ondoa Msaliti Buguruni’.… Read more »

Read more »
12Jul2017

0
Mchezaji wa Mbao FC U 20, Ismail Mrisho afariki uwanjani
Mchezaji wa Mbao FC U 20, Ismail Mrisho afariki uwanjani

Kinda wa Mbao FC ya Mwanza, Ismail Mrisho Khalfan amefariki dunia Jumapili ya jana baada ya kuanguka uwanjani alipogongana na beki wa Mwadui FC katika michuano ya Ligi ya Vijana U20 inayoendelea.Akiwa huduma ya kwanza baada ya kuanguka Mechi hiyo il… Read more »

Read more »
04Dec2016

0
Mambo Yazidi Kuwa Magumu kwa Wadaiwa Bodi ya Mikopo, Sasa Kukatwa 15% ya Kipato Chao kwa Mwezi
Mambo Yazidi Kuwa Magumu kwa Wadaiwa Bodi ya Mikopo, Sasa Kukatwa 15% ya Kipato Chao kwa Mwezi

MAMBO yanazidi kuwa magumu kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu baada ya asilimia ya marejesho ya mkopo huo kwa kila mwezi kuongezeka kutoka 8% hadi 15%.Mabadiliko haya yamekuja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli k… Read more »

Read more »
01Dec2016

0
TAHARUKI...Panya Road Wavamia Nyumba na Kupora..Majirani Washindwa Kusaidia
TAHARUKI...Panya Road Wavamia Nyumba na Kupora..Majirani Washindwa Kusaidia

DAR: Kundi kubwa la vijana wanaosadikika kuwa ni 'Panya Road' wavamia nyumba moja na kupora vitu mbalimbali usiku wa kuamkia leo.Inadaiwa kuwa mhanga wa tukio hilo alijaribu kuomba msaada kwa majirani bila mafanikio kwakuwa majirani hao waliogopa ku… Read more »

Read more »
01Dec2016

0
KWA Hili Lady Jaydee na Clouds Media Group Wanastahili Pongezi
KWA Hili Lady Jaydee na Clouds Media Group Wanastahili Pongezi

Najua hakuna aliyetarajia kuona hili likitokea lakini kwa uwezo wa Mungu limefikia mwisho.Nakumbuka Machi 21 ya mwaka huu kaka yangu Fredrick Bundala aliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari kinachosomeka “Ninachotamani: Lady Jaydee na Clouds… Read more »

Read more »
01Dec2016

0
MWAMVITA Makamba Atapeliwa na Sheria Ngowi......
MWAMVITA Makamba Atapeliwa na Sheria Ngowi......

Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti matata Bwana Sheria Ngowi. Hapo alikuwa akimpa taarifa jamaa anayeendesh… Read more »

Read more »
01Dec2016

0
HATIMAYE Rolls Royce la Diamond Liko Njiani Kuja Tanzania.....
HATIMAYE Rolls Royce la Diamond Liko Njiani Kuja Tanzania.....

The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce D… Read more »

Read more »
01Dec2016
 
 
Top